JavaScript

This website requires the use of Javascript Explain This   to function correctly. Performance and usage will suffer if it remains disabled.
Maktaba

Onyesha kama:

orodha
miraba fito

Pangilia kwa:


Vinjari kwa Muundo:


 

Maktaba: Sikukuu za Mwanadamu


Asili ya Kweli ya Krismasi

na David C. Pack

Krismasi ilianzia wapi? Kutoka kwenye Biblia au kwenye upagani? Ni nini hasa asili ya Baba Krismasi—mlimbo—mikrismasi—Mashada ya mholi—na desturi ya kupelekeana zawadi? Wengi wanajishughulisha juu ya “kumrudisha Kristo ndani ya Krismasi.” Je Aliwahi kuwa humo? Haya hapa ni majibu…
Hifadhi ili kusoma baadaye

Asili ya Kweli ya Isita

na David C. Pack

Isita (Pasaka isiyokuwa ya Wayahudi) ni utamaduni wa ulimwengu mzima unaohusisha desturi ambazo watu wanaamini ni za Kikristo. Asili ya Kwaresima na ibada za maawio ya jua ni nini? Ni kwa jinsi gani sungura, mayai na maandazi ya moto yenye alama ya msalaba vilikuja kuhusishwa na Kufufuka kwa Kristo?…
Hifadhi ili kusoma baadaye